Kutana na Ummi Sadick, msichana anayeongoza kampeni ya afya ya jamii mjini Mombasa, pwani ya Kenya, akiwasaidia wagonjwa kupata huduma salama na kwa wakati.