Alhamisi ya wiki hii, Rais Samia aliwaomba msamaha wanadiplomasia na raia wote wa kigeni wanaoishi nchini Tanzania kutokana na kilichotekea wakati huo, akiahidi kuwa serikali yake itachukua hatua ...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amemkabidhi gari aina ya Harrier, mama wa marehemu msanii Steven Kanumba, ...
Rais wa Tanzania amezungumza kwa mara ya kwanza tangu uchaguzi wa mwezi Oktoba uliopingwa kuhusu kuzimwa kwa mtandao wa intaneti kulikosababisha nchi hiyo kuinfia katiak sintofahamu kwa siku sita, ...
Tarehe Moja Desemba, Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan alitangaza kuanzishwa kwa kamati mbili ili kushughulikia mgogoro wa ardhi katika wilaya ya Ngorongoro kaskazini mwa Tanzania ...
KATIKA siku 100 za mwanzo za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea na Halmashauri ...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa pole kwa washirika wa jumuiya za kidiplomasia na raia wa kigeni wanaoishi nchini humo kutokana na vurugu zilizotokea wakati wa uchaguzi Mkuu, Oktoba 29, ...
Mtoto Nicolaus Mashaka (9), mkazi wa Mtaa wa Shunu, Kata ya Nyahanga katika Manispaa ya Kahama, amerejesha tabasamu baada ya ...
(Nairobi) – Serikali ya Tanzanian inapaswa kuchukua hatua za haraka kukabiliana na kudorora kwa hali ya haki za binadamu nchini kabla ya uchaguzi ujao wa serikali za mitaa Tanzania Bara mnamo Novemba ...